John 3:36
Yeyote anayemwamini Mwana ana uzima wa milele, lakini yeye asiyemwamini Mwana hatauona uzima, bali ghadhabu ya Mungu itakuwa juu yake.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
35Baba anampenda Mwana, naye ametia vitu vyote mikononi mwake.
Cross References
Numbers 32:11‘Kwa kuwa hawakunifuata kwa moyo wote, hakuna mtu yeyote mwenye miaka ishirini au zaidi ambaye alikuja kutoka Misri atakayeona nchi niliyoahidi kwa kiapo kwa Abrahamu, Isaki na Yakobo;
Psalms 2:12Mbusu Mwana, asije akakasirika 2 nawe ukaangamizwa katika njia yako, 1 kwa maana hasira yake inaweza kuwaka ghafula. 2 Heri wote wanaomkimbilia.
Psalms 49:19atajiunga na kizazi cha baba zake, 2 ambao hawataona kamwe nuru ya uzima. 1
Habakkuk 2:4“Tazama, amejaa majivuno; 2 anavyovitamani si vya unyofu: 2 lakini mwenye haki ataishi kwa imani yake: 1
Luke 3:6Nao watu wote watauona 2 wokovu wa Mungu.’ ”
John 3:3Yesu akamjibu, “Amin, amin nakuambia, hakuna mtu anayeweza kuuona Ufalme wa Mungu kama hajazaliwa mara ya pili.”