The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 3 › Luke 3:6

Luke 3:6

Nao watu wote watauona 2 wokovu wa Mungu.’ ”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And all flesh shall see the salvation of God.

In Context

5Kila bonde litajazwa, 2 kila mlima na kilima vitashushwa. 1 Njia zilizopinda zitanyooshwa, 2 na zilizoparuza zitasawazishwa. 1

7Yohana akauambia ule umati wa watu uliokuwa unakuja ili kubatizwa naye, “Ninyi watoto wa nyoka! Ni nani aliyewaonya kuikimbia ghadhabu inayokuja?

Read all of Luke 3

Cross References

Psalms 98:2Bwana ameufanya wokovu wake ujulikane 2 na amedhihirisha haki yake kwa mataifa. 1

Isaiah 49:6yeye asema: 1 “Je, ni jambo dogo sana wewe kuwa mtumishi wangu 2 ili kurejeza makabila ya Yakobo, 2 na kuwarudisha wale Waisraeli niliowahifadhi? 1 Pia nitakufanya uwe nuru kwa ajili ya watu wa Mataifa, 2 ili upate kuleta wokovu wangu hata miisho ya dunia.” 1

Mark 16:15Akawaambia, “Enendeni ulimwenguni kote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.

Luke 2:30Kwa maana macho yangu yameuona wokovu wako, 2

Romans 10:18Lakini nauliza: Je, wao hawakusikia? Naam, wamesikia, kwa maana: 1 “Sauti yao imeenea duniani pote, 2 nayo maneno yao yameenea 2 hadi miisho ya ulimwengu.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 3:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 3:5Luke 3Luke 3:7 →