The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 4 › John 4:28

John 4:28

Yule mwanamke akaacha mtungi wake, akarudi mjini akawaambia watu,

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The woman then left her waterpot, and went her way into the city, and saith to the men,

In Context

27Wakati huo wanafunzi wake wakarudi, wakashangaa sana kumwona akizungumza na mwanamke. Lakini hakuna aliyemuuliza, “Unataka nini kwake?” Au “Kwa nini unazungumza naye?”

29“Njooni mkamwone mtu aliyeniambia kila kitu nilichotenda! Je, yawezekana huyu ndiye Kristo?” + 4:29 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta.

Read all of John 4

Cross References

2 Kings 5:4Naamani akaenda kwa bwana wake na kumwambia alichosema yule msichana kutoka Israeli.

Mark 16:8Hivyo wakatoka, wakakimbia kutoka mle kaburini wakiwa na hofu kuu na mshangao. Nao hawakumwambia mtu yeyote neno lolote, kwa sababu waliogopa. 1 Yesu Anamtokea Maria Magdalene (Mathayo 28:9-10; Yohana 20:11-18)

Luke 24:33Wakaondoka mara, wakarudi Yerusalemu. Wakawakuta wale wanafunzi kumi na mmoja na wale waliokuwa pamoja nao, wamekusanyika

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 4:28

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 4:27John 4John 4:29 →