Luke 24:33
Wakaondoka mara, wakarudi Yerusalemu. Wakawakuta wale wanafunzi kumi na mmoja na wale waliokuwa pamoja nao, wamekusanyika
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
34wakisema, “Ni kweli! Bwana amefufuka, naye amemtokea Simoni.”
Cross References
Mark 16:13Nao wakarudi na kuwaambia wenzao. Lakini hawakuwasadiki wao pia. 1 Yesu Awaagiza Wale Wanafunzi Kumi Na Mmoja (Mathayo 28:16-20; Luka 24:36-49; Yohana 20:19-23; Matendo 1:6-8)
Acts 1:14Hawa wote waliungana pamoja katika maombi. Pamoja nao walikuwepo wanawake kadha, na Maria mama yake Yesu, pamoja na ndugu zake Yesu.