John 4:42
Wakamwambia yule mwanamke, “Sasa tunaamini, wala si kwa sababu ya maneno yako tu, bali kwa kuwa tumemsikia sisi wenyewe. Tumejua hakika kweli ya kwamba huyu ndiye Kristo, Mwokozi wa ulimwengu.” 1 Yesu Amponya Mwana Wa Afisa
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
41Kwa sababu ya neno lake, watu wengi wakaamini.
43Baada ya zile siku mbili, Yesu aliondoka kwenda Galilaya.
Cross References
Isaiah 52:10Mkono mtakatifu wa Bwana umefunuliwa 2 machoni pa mataifa yote, 1 nayo miisho yote ya dunia itaona 2 wokovu wa Mungu wetu. 1
Luke 2:10Lakini malaika akawaambia: “Msiogope. Kwa maana tazama nawaletea habari njema za furaha itakayokuwa kwa watu wote.
John 1:29Siku iliyofuata, Yohana alimwona Yesu akimjia akasema, “Tazama, Mwana-Kondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya ulimwengu!
John 3:14Kama vile Mose alivyomwinua yule nyoka kule jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa juu.
John 6:68Simoni Petro akamjibu, “Bwana, tuondoke twende kwa nani? Wewe unayo maneno ya uzima wa milele.
John 17:8kwa kuwa maneno yale ulionipa nimewapa wao, nao wameyapokea na kujua kwamba kweli nimetoka kwako, nao wameamini kuwa wewe ulinituma.