John 4:44
(Basi Yesu mwenyewe alikuwa amesema kwamba nabii hapati heshima katika nchi yake mwenyewe.)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For Jesus himself testified, that a prophet hath no honour in his own country.
In Context
43Baada ya zile siku mbili, Yesu aliondoka kwenda Galilaya.
Cross References
Mark 6:4Yesu akawaambia, “Nabii hakosi heshima isipokuwa katika mji wake mwenyewe, na miongoni mwa jamaa na ndugu zake, na nyumbani kwake.”