The Bible Software
bible.softwareMarkMark 6 › Mark 6:4

Mark 6:4

Yesu akawaambia, “Nabii hakosi heshima isipokuwa katika mji wake mwenyewe, na miongoni mwa jamaa na ndugu zake, na nyumbani kwake.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But Jesus said unto them, A prophet is not without honour, but in his own country, and among his own kin, and in his own house.

In Context

3Huyu si yule seremala, mwana wa Maria? Na ndugu zake si Yakobo, Yose, + 6:3 Yosefu kwa Kiyunani ni Joses. Yuda na Simoni? Dada zake wote si tuko nao hapa kwetu?” Nao wakachukizwa sana kwa ajili yake, wakakataa kumwamini.

5Hakufanya miujiza yoyote huko isipokuwa kuweka mikono yake juu ya wagonjwa wachache na kuwaponya.

Read all of Mark 6

Cross References

Jeremiah 12:6Ndugu zako, watu wa jamaa yako mwenyewe: 2 hata wao wamekusaliti; 2 wameinua kilio kikubwa dhidi yako. 1 Usiwaamini, ingawa wanazungumza 2 mema juu yako. 1

Luke 4:24Yesu akasema, “Amin, nawaambia, hakuna nabii anayekubalika katika mji wake mwenyewe.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mark 6:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mark 6:3Mark 6Mark 6:5 →