John 5:4
Kwa maana malaika alikuwa akishuka wakati fulani, akayatibua maji. Yule aliyekuwa wa kwanza kuingia ndani baada ya maji kutibuliwa alipona ugonjwa wowote aliokuwa nao].
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Mtu mmoja alikuwako huko ambaye alikuwa ameugua kwa miaka thelathini na minane.
Cross References
Psalms 119:60Nitafanya haraka bila kuchelewa 2 kuzitii amri zako. 1
Proverbs 8:17Nawapenda wale wanipendao, 2 na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. 1
Ezekiel 47:8Akaniambia, “Haya maji yanatiririka kuelekea nchi ya mashariki na kushuka mpaka Araba, + 47:8 Araba hapa ina maana ya Bonde la Yordani. ambapo huingia Baharini. Yanapomwagikia kwenye hiyo Bahari, + 47:8 Bahari hapa ina maana ya Bahari ya Chumvi. maji yaliyoko humo huponywa na kuwa safi.
Zechariah 13:1“Katika siku hiyo, chemchemi itafunguliwa kwa nyumba ya Daudi na wakazi wa Yerusalemu, kuwatakasa dhambi na unajisi.
Matthew 6:33Lakini utafuteni kwanza Ufalme wa Mungu na haki yake, na haya yote atawapa pia.
Luke 13:24Yesu akawaambia, “Jitahidini sana kuingia kupitia mlango mwembamba, kwa maana nawaambia wengi watajaribu kuingia, lakini hawataweza.