John 5:41
“Mimi sitafuti kutukuzwa na wanadamu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I receive not honour from men.
In Context
40Lakini mnakataa kuja kwangu ili mpate uzima.
42Lakini ninajua kwamba hamna upendo wa Mungu mioyoni mwenu.
Cross References
John 5:44Ninyi mwawezaje kuamini ikiwa mnapeana utukufu ninyi kwa ninyi, lakini hamna bidii kupata utukufu utokao kwa Mungu?
John 7:18Wale wanenao kwa ajili yao wenyewe hufanya hivyo kwa kutaka utukufu wao wenyewe. Lakini yeye atafutaye utukufu wa yule aliyemtuma ni wa kweli, wala hakuna uongo ndani yake.
John 8:54Yesu akawajibu, “Kama nikijitukuza utukufu wangu hauna maana. Baba yangu, huyo ambaye ninyi mnadai kuwa ni Mungu wenu, ndiye anitukuzaye mimi.
1 Peter 2:21Ninyi mliitwa kwa ajili ya haya, kwa sababu Kristo naye aliteswa kwa ajili yenu, akiwaachia kielelezo, ili mzifuate nyayo zake. 1