1 Peter 2:21
Ninyi mliitwa kwa ajili ya haya, kwa sababu Kristo naye aliteswa kwa ajili yenu, akiwaachia kielelezo, ili mzifuate nyayo zake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22“Yeye hakutenda dhambi, 2 wala hila haikuonekana kinywani mwake.”
Cross References
Psalms 85:13Haki itatangulia mbele yake 2 na kutengeneza njia kwa ajili ya hatua zake.
Matthew 11:29Jifungeni nira yangu, mjifunze kutoka kwangu, kwa maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtapata raha nafsini mwenu.
Mark 8:34Ndipo akauita ule umati wa watu pamoja na wanafunzi wake, akasema, “Mtu yeyote akitaka kunifuata, ni lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake, anifuate.
Luke 14:26“Mtu yeyote anayekuja kwangu hawezi kuwa mwanafunzi wangu kama hatanipenda mimi zaidi ya baba yake na mama yake, mke wake na watoto wake, ndugu zake na dada zake, naam, hata maisha yake mwenyewe.
John 13:15Mimi nimewawekea kielelezo kwamba imewapasa kutenda kama vile nilivyowatendea ninyi.
Acts 9:16Nami nitamwonyesha jinsi impasavyo kuteseka kwa ajili ya Jina langu.”