bible.software › John › John 6 › John 6:10
John 6:10
Yesu akasema, “Waketisheni watu chini.” Palikuwa na majani mengi katika eneo lile, nao watu wakaketi. Palikuwa na wanaume wapatao 5,000.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jesus said, Make the men sit down. Now there was much grass in the place. So the men sat down, in number about five thousand.
In Context
9“Hapa kuna mvulana mmoja mwenye mikate mitano ya shayiri na samaki wawili wadogo. Lakini hivi vitatosha nini kwa umati huu wote?”
11Ndipo Yesu akachukua ile mikate, akamshukuru Mungu na kuwagawia wale watu waliokuwa wameketi. Akafanya vivyo hivyo na wale samaki. Kila mtu akapata kadiri alivyotaka.
Read all of John 6
Cross References
Matthew 14:18Akawaambia, “Nileteeni hivyo vitu hapa.”
Mark 6:39Kisha Yesu akawaamuru wawaketishe watu makundi makundi kwenye majani,
Luke 9:14Walikuwako wanaume wapatao 5,000. Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Waketisheni katika makundi ya watu hamsini hamsini.”
This Verse In Other Editions
Study John 6:10