John 6:9
“Hapa kuna mvulana mmoja mwenye mikate mitano ya shayiri na samaki wawili wadogo. Lakini hivi vitatosha nini kwa umati huu wote?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Mmoja wa wanafunzi wake aitwaye Andrea, ndugu yake Simoni Petro, akamwambia,
Cross References
Deuteronomy 8:8nchi yenye ngano na shayiri, mizabibu na mitini, mikomamanga, mafuta ya zeituni na asali;
1 Kings 4:28Pia walileta sehemu walizopangiwa za shayiri na majani kwa ajili ya farasi wavutao magari na farasi wengine mahali palipostahili. 1 Hekima Ya Solomoni
2 Kings 7:1Elisha akasema, “Sikiliza neno la Bwana. Hivi ndivyo asemavyo Bwana: Wakati kama huu kesho, kipimo kimoja + 7:1 Kipimo kimoja cha unga ni sawa na kilo 3. cha unga mzuri kitauzwa kwa shekeli moja ya fedha, + 7:1 Shekeli moja ya fedha ni sawa na gramu 11. na vibaba viwili vya shayiri kwa shekeli moja ya fedha katika lango la Samaria.”
Psalms 78:41Walimjaribu Mungu mara kwa mara, 2 wakamkasirisha yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1
Psalms 147:14Huwapa amani mipakani mwenu 2 na kukushibisha kwa ngano safi kabisa. 1
Matthew 14:17Wakamjibu, “Tuna mikate mitano na samaki wawili tu.”