John 6:15
Yesu akijua kwamba walitaka kuja kumfanya awe mfalme wao, kwa nguvu, akajitenga nao akaenda milimani peke yake. 1 Yesu Atembea Juu Ya Maji (Mathayo 14:22-33; Marko 6:45-52)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16Ilipofika jioni, wanafunzi wake waliteremka kwenda baharini.
Cross References
Matthew 14:22Mara Yesu akawaambia wanafunzi wake waingie kwenye mashua watangulie kwenda ngʼambo ya bahari, wakati yeye alikuwa akiwaaga wale makutano.
Mark 11:9Kisha wale waliokuwa wametangulia mbele na wale waliokuwa wakifuata nyuma wakapaza sauti, wakisema, 1 “Hosana!” + 11:9 Kiebrania kusema Okoa, basi likawa neno la shangwe. 1 “Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana!” 1
John 2:24Lakini Yesu hakujiaminisha kwao kwa sababu aliwajua wanadamu wote.
John 6:3Kisha Yesu akapanda mlimani akaketi huko pamoja na wanafunzi wake.
John 7:3Hivyo ndugu zake Yesu wakamwambia, “Ondoka hapa uende Uyahudi ili wanafunzi Wako wapate kuona miujiza unayofanya.
John 18:36Yesu akajibu, “Ufalme wangu si wa ulimwengu huu. Ufalme wangu ungekuwa wa ulimwengu huu, wafuasi wangu wangenipigania ili nisitiwe mikononi mwa Wayahudi. Lakini kama ilivyo, ufalme wangu hautoki hapa ulimwenguni.”