Mark 11:9
Kisha wale waliokuwa wametangulia mbele na wale waliokuwa wakifuata nyuma wakapaza sauti, wakisema, 1 “Hosana!” + 11:9 Kiebrania kusema Okoa, basi likawa neno la shangwe. 1 “Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana!” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10“Umebarikiwa Ufalme unaokuja wa baba yetu Daudi!” 1 “Hosana kwake yeye aliye juu!”
Cross References
Psalms 118:25Ee Bwana, tuokoe, 2 Ee Bwana, utujalie mafanikio. 1
Matthew 23:39Kwa maana nawaambia, hamtaniona tena tangu sasa mpaka mtakaposema, ‘Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana.’ ”
John 12:13Basi wakachukua matawi ya mitende, wakatoka kwenda kumlaki, huku wakipaza sauti wakisema, 1 “Hosana!” + 12:13 Kiebrania kusema Okoa, basi likawa neno la shangwe. 1 “Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana!” 1 “Amebarikiwa Mfalme wa Israeli!”