John 6:17
Wakaingia kwenye mashua, wakaanza kuvuka bahari kwenda Kapernaumu. Wakati huu kulikuwa tayari giza na Yesu alikuwa hajajumuika nao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16Ilipofika jioni, wanafunzi wake waliteremka kwenda baharini.
18Bahari ikachafuka kwa sababu upepo mkali ulikuwa unavuma.
Cross References
John 2:12Baada ya hayo, Yesu pamoja na mama yake, ndugu zake na wanafunzi wake, walishuka mpaka Kapernaumu, wakakaa huko siku chache.
John 6:24Mara wale watu wakatambua kwamba Yesu hakuwepo hapo, wala wanafunzi wake. Wakaingia kwenye mashua hizo, wakaenda Kapernaumu ili kumtafuta Yesu. 1 Yesu Ni Mkate Wa Uzima