bible.software › John › John 6 › John 6:18
John 6:18
Bahari ikachafuka kwa sababu upepo mkali ulikuwa unavuma.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the sea arose by reason of a great wind that blew.
In Context
17Wakaingia kwenye mashua, wakaanza kuvuka bahari kwenda Kapernaumu. Wakati huu kulikuwa tayari giza na Yesu alikuwa hajajumuika nao.
19Wanafunzi walipokuwa wamekwenda mwendo wa karibu maili tatu au nne, + 6:19 Maili tatu au nne ni kama kilomita 5 au 6. walimwona Yesu akitembea juu ya maji akikaribia mashua, nao wakaogopa sana.
Read all of John 6
Cross References
Psalms 135:7Hufanya mawingu kupanda kutoka miisho ya dunia; 2 hupeleka umeme wa radi pamoja na mvua 2 na huleta upepo kutoka ghala zake. 1
This Verse In Other Editions
Study John 6:18