John 6:21
Ndipo wakamkaribisha kwa furaha ndani ya mashua, na mara wakafika ufuoni walikokuwa wakienda. 1 Watu Wanamtafuta Yesu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Lakini Yesu akawaambia, “Ni mimi. Msiogope.”
Cross References
Psalms 24:7Inueni vichwa vyenu, enyi malango, 2 inukeni enyi milango ya kale, 2 ili mfalme wa utukufu apate kuingia. 1
Matthew 14:32Nao walipoingia ndani ya mashua, upepo ukakoma.
Revelation 3:20Tazama! Nasimama mlangoni nabisha. Kama mtu yeyote akisikia sauti yangu na kufungua mlango, nitaingia ndani na kula pamoja naye, naye pamoja nami.