bible.software › Matthew › Matthew 14 › Matthew 14:32
Matthew 14:32
Nao walipoingia ndani ya mashua, upepo ukakoma.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when they were come into the ship, the wind ceased.
In Context
31Mara Yesu akaunyoosha mkono wake na kumshika, akamwambia, “Wewe mwenye imani haba, kwa nini uliona shaka?”
33Ndipo wote waliokuwa ndani ya ile mashua wakamwabudu Yesu, wakisema, “Hakika, wewe ndiwe Mwana wa Mungu.” 1 Yesu Awaponya Wagonjwa Genesareti (Marko 6:53-56)
Read all of Matthew 14
Cross References
Psalms 107:29Akatuliza dhoruba kwa mnongʼono, 2 mawimbi ya bahari yakatulia. 1
Mark 6:51Akapanda ndani ya mashua nao, na ule upepo ukakoma! Wakashangaa kabisa,
This Verse In Other Editions
Study Matthew 14:32