John 6:28
Ndipo wakamuuliza, “Tufanye nini ili tupate kuitenda kazi ya Mungu?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then said they unto him, What shall we do, that we might work the works of God?
In Context
29Yesu akawajibu, “Kazi ya Mungu ndiyo hii: Mwaminini yeye aliyetumwa naye.”
Cross References
Deuteronomy 5:27Sogea karibu usikie yale yote asemayo Bwana Mungu wetu. Kisha utuambie chochote kile ambacho Bwana Mungu wetu anakuambia. Tutasikiliza na kutii.”
Jeremiah 42:20kwamba mmefanya kosa kubwa mioyoni mwenu mliponituma kwa Bwana Mungu wenu na kusema, ‘Mwombe Bwana Mungu wetu kwa ajili yetu, nawe utuambie kila kitu atakachosema, nasi tutafanya.’
Matthew 19:16Mtu mmoja akamjia Yesu na kumuuliza, “Mwalimu mwema, nifanye jambo gani jema ili nipate uzima wa milele?”
Acts 2:37Watu waliposikia maneno haya yakawachoma mioyo yao, wakawauliza Petro na wale mitume wengine, “Ndugu zetu tufanye nini?”
Acts 16:30Kisha akawaleta nje akisema, “Bwana zangu, nifanye nini nipate kuokoka?”