John 6:49
Baba zenu walikula mana jangwani, lakini wakafa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Your fathers did eat manna in the wilderness, and are dead.
In Context
50Lakini hapa kuna mkate utokao mbinguni, ambao mtu yeyote akiula, hatakufa.
Cross References
Zechariah 1:5Wako wapi baba zako sasa? Nao manabii, je, wanaishi milele?
John 6:58Huu ndio mkate ushukao kutoka mbinguni, si kama ule mkate baba zenu waliokula nao wakafa. Lakini yeye aulaye mkate huu ataishi milele.”
Hebrews 3:17Lakini ni nani aliowakasirikia miaka arobaini? Je, si wale waliofanya dhambi ambao miili yao ilianguka jangwani?