John 6:66
Tangu wakati huo wafuasi wake wengi wakarejea nyuma wakaacha kumfuata.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
From that time many of his disciples went back, and walked no more with him.
In Context
67Hivyo Yesu akawauliza wale wanafunzi wake kumi na wawili, “Je, ninyi pia mnataka kuondoka?”
Cross References
Zephaniah 1:6wale wanaoacha kumfuata Bwana, 2 wala hawamtafuti Bwana 2 wala kutaka shauri lake. 1
Matthew 13:20Ile mbegu iliyopandwa kwenye sehemu yenye mawe ni mtu yule ambaye hulisikia neno na mara hulipokea kwa furaha.
Matthew 21:8Umati mkubwa wa watu ukatandaza mavazi yao barabarani, na wengine wakakata matawi kutoka kwenye miti, wakayatandaza barabarani.
Luke 9:62Yesu akamwambia, “Mtu yeyote atiaye mkono wake kulima, kisha akatazama nyuma, hafai kwa Ufalme wa Mungu.”
John 6:64Lakini baadhi yenu hamwamini.” Kwa maana Yesu alifahamu tangu mwanzo wale ambao hawangemwamini miongoni mwao na yule ambaye angemsaliti.
2 Timothy 1:15Unajua ya kuwa watu wote katika Asia wameniacha, miongoni mwao wamo Filego na Hermogene.