The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 21 › Matthew 21:8

Matthew 21:8

Umati mkubwa wa watu ukatandaza mavazi yao barabarani, na wengine wakakata matawi kutoka kwenye miti, wakayatandaza barabarani.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And a very great multitude spread their garments in the way; others cut down branches from the trees, and strawed them in the way.

In Context

7Wakamleta yule punda na mwana-punda, nao wakatandika mavazi yao juu ya hao punda, naye Yesu akaketi juu yake.

9Ule umati wa watu uliomtangulia na ule uliomfuata ukapiga kelele ukisema, 1 “Hosana, + 21:9 Kiebrania kusema Okoa, basi likawa neno la shangwe. Mwana wa Daudi!” 1 “Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana!” 1 “Hosana juu mbinguni!”

Read all of Matthew 21

Cross References

2 Kings 9:13Wakaharakisha kuvua mavazi yao, na kuyatandaza chini ya Yehu ili akanyage juu kwenye ngazi ya nje. Kisha wakapiga tarumbeta na kupaza sauti wakisema, “Yehu ni mfalme!” 1 Yehu Anamuua Yoramu Na Ahazia

John 12:13Basi wakachukua matawi ya mitende, wakatoka kwenda kumlaki, huku wakipaza sauti wakisema, 1 “Hosana!” + 12:13 Kiebrania kusema Okoa, basi likawa neno la shangwe. 1 “Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana!” 1 “Amebarikiwa Mfalme wa Israeli!”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 21:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 21:7Matthew 21Matthew 21:9 →