Matthew 12:14
Lakini Mafarisayo wakatoka nje, wakafanya shauri baya juu ya Yesu jinsi watakavyoweza kumuua. 1 Mtumishi Aliyechaguliwa Na Mungu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then the Pharisees went out, and held a council against him, how they might destroy him.
In Context
Cross References
Matthew 27:1Asubuhi na mapema, viongozi wa makuhani wote na wazee wa watu wakafanya shauri pamoja dhidi ya Yesu ili kumuua.
Luke 6:11Wale wakuu wakakasirika sana, wakashauriana wao kwa wao ni nini watakachomtendea Yesu. 1 Yesu Achagua Mitume Kumi Na Wawili (Mathayo 10:1-4; Marko 3:13-19)
John 10:39Ndipo wakajaribu kumkamata kwa mara nyingine, lakini akaponyoka kutoka mikononi mwao.
John 11:57Viongozi wa makuhani na Mafarisayo walikuwa wametoa amri kuwa yeyote atakayejua mahali Yesu aliko, lazima atoe taarifa ili wapate kumkamata.