John 7:42
Je, Maandiko hayasemi kwamba Kristo atakuja kutoka jamaa ya Daudi na kutoka Bethlehemu, mji alioishi Daudi?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
41Wengine wakasema, “Huyu ndiye Kristo!” Lakini wengine wakauliza, “Je, Kristo kwao ni Galilaya?
43Kwa hiyo watu wakagawanyika kwa ajili ya Yesu.
Cross References
1 Samuel 16:1Bwana akamwambia Samweli, “Utamlilia Sauli mpaka lini, maadamu nimemkataa asiendelee kuwa mfalme juu ya Israeli? Jaza pembe yako mafuta, ushike njia uende; ninakutuma kwa Yese huko Bethlehemu. Nimemchagua mmoja wa wanawe kuwa mfalme.”
1 Samuel 16:11Hivyo akamuuliza Yese, “Je, hawa ndio wana pekee ulio nao?” Yese akajibu, “Bado yuko mdogo kuliko wote, lakini anachunga kondoo.” Samweli akasema, “Tuma aitwe; hatutaketi mpaka afike.”
1 Samuel 17:58Sauli akamuuliza, “Kijana, wewe ni mwana wa nani?” Daudi akasema, “Mimi ni mwana wa mtumishi wako Yese wa Bethlehemu.”
Psalms 89:4‘Nitaimarisha uzao wako milele 2 na kudumisha ufalme wako kwa vizazi vyote.’ ” 1
Isaiah 11:1Chipukizi litatokea kutoka shina la Yese, 2 kutoka mizizi yake Tawi litazaa tunda. 1
Micah 5:2“Lakini wewe, Bethlehemu Efrathi, 2 ingawa u mdogo miongoni mwa koo za Yuda, 1 kutoka kwako atatokea kwa ajili yangu 2 yeye atakayekuwa mtawala katika Israeli, 1 ambaye asili yake ni kutoka zamani, 2 kutoka milele.” 1