John 7:43
Kwa hiyo watu wakagawanyika kwa ajili ya Yesu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So there was a division among the people because of him.
In Context
Cross References
Matthew 10:35Kwa maana nimekuja kumfitini 1 “ ‘mtu na babaye, 2 binti na mamaye, 1 mkwe na mama mkwe wake; 2
John 7:12Kulikuwa na minongʼono iliyoenea kumhusu Yesu katika umati wa watu, wakati wengine wakisema, “Ni mtu mwema.” Wengine walikuwa wakisema, “La, yeye anawadanganya watu.”
John 10:19Kwa maneno haya Wayahudi waligawanyika.
Acts 23:7Aliposema haya, farakano likaanza kati ya Mafarisayo na Masadukayo na baraza lote likagawanyika.