John 7:6
Yesu akawaambia, “Wakati wangu bado haujawadia, lakini wakati wenu upo siku zote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then Jesus said unto them, My time is not yet come: but your time is alway ready.
In Context
5Hata ndugu zake mwenyewe hawakumwamini.
Cross References
Psalms 102:13Utainuka na kuihurumia Sayuni, 2 kwa maana ni wakati wa kumwonyesha wema; 2 wakati uliokubalika umewadia. 1
Matthew 26:18Akajibu, “Nendeni kwa mtu fulani huko mjini, mkamwambie, ‘Mwalimu asema hivi: Saa yangu imekaribia. Nitaiadhimisha Pasaka pamoja na wanafunzi wangu katika nyumba yako.’ ”
John 7:8Ninyi nendeni kwenye Sikukuu, lakini mimi sitahudhuria Sikukuu hii kwa sababu wakati wangu haujawadia.”
John 8:20Yesu alisema maneno haya alipokuwa akifundisha katika chumba cha hazina Hekaluni. Lakini hakuna mtu aliyemkamata kwa kuwa saa yake ilikuwa haijawadia. 1 Yesu Atabiri Kifo Chake Mwenyewe
John 17:1Baada ya Yesu kusema haya, alitazama kuelekea mbinguni akawaombea na kusema: “Baba, saa imewadia. Umtukuze Mwanao, ili Mwanao apate kukutukuza wewe.