John 7:8
Ninyi nendeni kwenye Sikukuu, lakini mimi sitahudhuria Sikukuu hii kwa sababu wakati wangu haujawadia.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Go ye up unto this feast: I go not up yet unto this feast; for my time is not yet full come.
In Context
9Akiisha kusema hayo, akabaki Galilaya. 1 Yesu Kwenye Sikukuu Ya Vibanda
Cross References
John 7:6Yesu akawaambia, “Wakati wangu bado haujawadia, lakini wakati wenu upo siku zote.
John 8:20Yesu alisema maneno haya alipokuwa akifundisha katika chumba cha hazina Hekaluni. Lakini hakuna mtu aliyemkamata kwa kuwa saa yake ilikuwa haijawadia. 1 Yesu Atabiri Kifo Chake Mwenyewe
John 11:6baada ya kusikia kwamba Lazaro ni mgonjwa, aliendelea kukawia huko alikokuwa kwa siku mbili zaidi.