John 8:15
Ninyi mnahukumu kwa kufuata vipimo vya kibinadamu, mimi simhukumu mtu yeyote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Ye judge after the flesh; I judge no man.
In Context
Cross References
Psalms 58:1Enyi watawala, je, kweli mwanena kwa haki? 2 Je, mnahukumu kwa unyofu miongoni mwa watu? 1
Amos 5:7Ninyi ambao mnageuza haki kuwa uchungu 2 na kuiangusha haki chini 1
Habakkuk 1:4Kwa hiyo sheria imepotoshwa, 2 nayo haki haipo kabisa. 1 Waovu wanawazunguka wenye haki, 2 kwa hiyo haki imepotoshwa. 1 Jibu La Bwana 1
John 3:17Kwa maana Mungu hakumtuma Mwanawe kuuhukumu ulimwengu, bali kupitia kwake ulimwengu upate kuokolewa.
John 8:11Yule mwanamke akajibu, “Hakuna hata mmoja Bwana.” Yesu akamwambia, “Hata mimi sikuhukumu. Nenda zako, kuanzia sasa usitende dhambi tena.”] 1 Yesu Nuru Ya Ulimwengu
John 18:36Yesu akajibu, “Ufalme wangu si wa ulimwengu huu. Ufalme wangu ungekuwa wa ulimwengu huu, wafuasi wangu wangenipigania ili nisitiwe mikononi mwa Wayahudi. Lakini kama ilivyo, ufalme wangu hautoki hapa ulimwenguni.”