John 8:16
Lakini hata kama nikihukumu, uamuzi wangu ni sahihi kwa sababu sitoi hukumu yangu peke yangu, bali niko pamoja na Baba, aliyenituma.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And yet if I judge, my judgment is true: for I am not alone, but I and the Father that sent me.
In Context
15Ninyi mnahukumu kwa kufuata vipimo vya kibinadamu, mimi simhukumu mtu yeyote.
17Imeandikwa katika Sheria yenu kwamba, ushahidi wa watu wawili ni thabiti.
Cross References
Psalms 45:6Ee Mungu, kiti chako cha enzi 2 kitadumu milele na milele, 1 fimbo ya utawala wa haki 2 itakuwa fimbo ya utawala wa ufalme wako. 1
Psalms 98:9vyote na viimbe mbele za Bwana, 2 kwa maana yuaja kuhukumu dunia. 1 Atahukumu dunia kwa haki 2 na mataifa kwa haki.
Isaiah 9:7Kuongezeka kwa utawala wake na amani 2 hakutakuwa na mwisho. 1 Atatawala katika kiti cha enzi cha Daudi 2 na juu ya ufalme wake, 1 akiuthibitisha na kuutegemeza 2 kwa haki na kwa adili, 2 tangu wakati huo na hata milele. 1 Wivu wa Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 utatimiza haya. 1 Hasira Ya Bwana Dhidi Ya Israeli 1
Isaiah 32:1Tazama, mfalme atatawala kwa uadilifu 2 na watawala watatawala kwa haki. 1
Zechariah 9:9Shangilia sana, ee Binti Sayuni! 2 Piga kelele, Binti Yerusalemu! 1 Tazama, Mfalme wako anakuja kwako, 2 ni mwenye haki, naye ana wokovu, 2 ni mpole, naye amepanda punda, 2 mwana-punda, mtoto wa punda. 1
John 8:29Yeye aliyenituma yu pamoja nami, hajaniacha, kwa kuwa siku zote nafanya mapenzi yake.’ ”