John 8:30
Wengi waliomsikia Yesu akisema maneno haya wakamwamini. 1 Wanafunzi Wa Kweli
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
As he spake these words, many believed on him.
In Context
29Yeye aliyenituma yu pamoja nami, hajaniacha, kwa kuwa siku zote nafanya mapenzi yake.’ ”
Cross References
John 2:23Ikawa Yesu alipokuwa Yerusalemu kwenye Sikukuu ya Pasaka, watu wengi waliona ishara na miujiza aliyokuwa akifanya, wakaamini katika jina lake.
John 7:31Nao watu wengi wakamwamini, wakasema, “Je, Kristo atakapokuja, atafanya miujiza mikuu zaidi kuliko aliyoifanya mtu huyu?” 1 Walinzi Wanatumwa Kumkamata Yesu
John 11:45Hivyo Wayahudi wengi waliokuwa wamekuja kumfariji Maria, walipoona yale Yesu aliyoyatenda wakamwamini.