John 8:31
Kisha Yesu akawaambia wale Wayahudi waliomwamini, “Kama mkidumu katika maneno yangu, mtakuwa wanafunzi wangu kweli kweli.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
30Wengi waliomsikia Yesu akisema maneno haya wakamwamini. 1 Wanafunzi Wa Kweli
32Ndipo mtaijua kweli nayo kweli itawaweka huru.”
Cross References
Matthew 24:13lakini yule atakayevumilia hadi mwisho ataokolewa.
John 6:55Kwa maana mwili wangu ni chakula cha kweli na damu yangu ni kinywaji cha kweli.
John 8:36Hivyo Mwana akiwaweka huru mtakuwa huru kweli kweli.
Acts 13:43Baada ya kusanyiko la Sinagogi kutawanyika, wengi wa Wayahudi na waongofu wa dini ya Kiyahudi wakawafuata Paulo na Barnaba, wakazungumza nao na kuwahimiza wadumu katika neema ya Mungu.
Acts 26:22Hadi leo nimepata msaada kutoka kwa Mungu, na hivyo nasimama hapa nikishuhudia kwa wakubwa na wadogo. Sisemi chochote zaidi ya yale ambayo manabii na Mose walisema yatatukia:
Romans 11:22Angalia basi wema na ukali wa Mungu: Kwa wale walioanguka, ukali, bali kwako wewe wema wa Mungu, kama utadumu katika wema wake. La sivyo, nawe utakatiliwa mbali.