John 8:32
Ndipo mtaijua kweli nayo kweli itawaweka huru.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And ye shall know the truth, and the truth shall make you free.
In Context
Cross References
Psalms 25:5niongoze katika kweli yako na kunifundisha, 2 kwa maana wewe ni Mungu Mwokozi wangu, 2 nalo tumaini langu liko kwako wakati wote. 1
Psalms 119:45Nitatembea nikiwa huru, 2 kwa kuwa nimejifunza mausia yako. 1
Proverbs 1:29Kwa kuwa walichukia maarifa, 2 wala hawakuchagua kumcha Bwana, 1
Proverbs 4:18Njia ya wenye haki ni kama nuru ya kwanza ya mapambazuko, 2 ambayo hungʼaa zaidi na zaidi mpaka mchana mkamilifu. 1
Isaiah 2:3Mataifa mengi yatakuja na kusema, 1 “Njooni, twendeni mlimani mwa Bwana, 2 kwenye nyumba ya Mungu wa Yakobo. 1 Atatufundisha njia zake, 2 ili tuweze kuenenda katika mapito yake.” 1 Sheria itatoka Sayuni, 2 neno la Bwana litatoka Yerusalemu. 1
Isaiah 35:8Nako kutakuwa na njia kuu, 2 nayo itaitwa Njia ya Utakatifu. 1 Wasio safi hawatapita juu yake; 2 itakuwa ya wale watembeao katika Njia ile; 1 yeye asafiriye juu yake, 2 ajapokuwa mjinga, hatapotea. 1