John 8:43
Kwa nini hamwelewi ninayowaambia? Ni kwa sababu hamwezi kusikia nisemacho.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Why do ye not understand my speech? even because ye cannot hear my word.
In Context
Cross References
Proverbs 28:5Watu wabaya hawaelewi haki, 2 bali wale wamtafutao Bwana wanaielewa kikamilifu. 1
Isaiah 44:18Hawajui chochote, hawaelewi chochote, 2 macho yao yamefungwa hata hawawezi kuona, 2 akili zao zimefungwa hata hawawezi kufahamu. 1
Hosea 14:9Ni nani mwenye hekima? Atayatambua mambo haya. 2 Ni nani mwenye ufahamu? Huyu atayaelewa. 1 Njia za Bwana ni adili; 2 wenye haki huenda katika njia hizo, 2 lakini waasi watajikwaa ndani yake.
John 5:43Mimi nimekuja kwa jina la Baba yangu, nanyi hamnipokei, lakini mtu mwingine akija kwa jina lake mwenyewe, mtampokea.
John 7:17Mtu yeyote akipenda kufanya mapenzi ya Mungu, atajua kama mafundisho yangu yanatoka kwa Mungu au ninasema kwa ajili yangu mwenyewe.
John 12:39Kwa hivyo hawakuamini, kwa sababu Isaya anasema mahali pengine: 1