The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 12 › John 12:39

John 12:39

Kwa hivyo hawakuamini, kwa sababu Isaya anasema mahali pengine: 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore they could not believe, because that Esaias said again,

In Context

38Hili lilikuwa ili kutimiza lile neno la nabii Isaya lililosema: 1 “Bwana, ni nani aliyeamini ujumbe wetu, 2 na mkono wa Bwana umefunuliwa kwa nani?”

40“Amewafanya vipofu, 2 na kuifanya mioyo yao kuwa migumu, 1 ili wasiweze kuona kwa macho yao, 2 wala kuelewa kwa mioyo yao, 2 wasije wakageuka nami nikawaponya.”

Read all of John 12

Cross References

Isaiah 44:18Hawajui chochote, hawaelewi chochote, 2 macho yao yamefungwa hata hawawezi kuona, 2 akili zao zimefungwa hata hawawezi kufahamu. 1

John 6:44Hakuna mtu awezaye kuja kwangu kama asipovutwa na Baba aliyenituma, nami nitamfufua siku ya mwisho.

2 Peter 2:14Wakiwa na macho yaliyojaa uzinzi, kamwe hawaachi kutenda dhambi. Huwashawishi wale wasio imara. Wao ni hodari kwa kutamani; ni wana wa laana!

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 12:39

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 12:38John 12John 12:40 →