John 8:7
Walipoendelea kumuulizauliza akainuka, akawaambia, “Kama kuna mtu yeyote miongoni mwenu ambaye hana dhambi na awe wa kwanza kumtupia jiwe.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Akainama tena na kuandika ardhini.
Cross References
Psalms 50:16Lakini kwake mtu mwovu, Mungu asema: 1 “Una haki gani kunena sheria zangu 2 au kuchukua agano langu midomoni mwako? 1
Proverbs 26:4Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, 2 ama wewe mwenyewe utakuwa kama yeye. 1
Matthew 7:1“Usihukumu ili usije ukahukumiwa.
John 7:46Wale walinzi wakajibu, “Kamwe hajanena mtu yeyote kama yeye anenavyo.”
Romans 2:21basi wewe, uwafundishaye wengine, mbona hujifunzi mwenyewe? Wewe uhubiriye kwamba mtu asiibe, wewe mwenyewe waiba?
Colossians 4:6Maneno yenu yawe yamejaa neema siku zote, yanayofaa, ili mjue jinsi iwapasavyo na inavyofaa kumjibu kila mtu. 1 Salamu Za Mwisho