John 9:10
Wakamuuliza, “Basi macho yako yalifumbuliwaje?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Therefore said they unto him, How were thine eyes opened?
In Context
Cross References
Mark 4:27Akiisha kuzipanda, usiku na mchana, akiwa amelala au ameamka, mbegu huota na kukua pasipo yeye kujua ikuavyo.
John 9:15Mafarisayo nao wakaanza kumuuliza alivyopata kuponywa. Naye akawaambia, “Alinipaka tope kwenye macho yangu, nikanawa na sasa ninaona.”
John 9:26Wakamuuliza, “Alikufanyia nini? Aliyafumbuaje macho yako?”