John 9:22
Wazazi wake walisema hivi kwa sababu waliwaogopa Wayahudi kwani walikuwa wamekubaliana kuwa mtu yeyote atakayemkiri Yesu kuwa ndiye Kristo + 9:22 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. atafukuzwa kutoka sinagogi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
23Kwa hiyo wazazi wake wakasema, “Yeye ni mtu mzima. Muulizeni.”
Cross References
Psalms 27:1Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu, 2 nimwogope nani? 1 Bwana ni ngome ya uzima wangu, 2 nimhofu nani? 1
Isaiah 51:7“Nisikieni, ninyi mnaojua lililo sawa, 2 ninyi watu ambao mna sheria yangu mioyoni mwenu: 1 Msiogope mashutumu ya wanadamu 2 wala msitiwe hofu na matukano yao. 1
Isaiah 57:11“Ni nani uliyemhofu hivyo na kumwogopa 2 hata ukawa mwongo kwangu, 1 wala hukunikumbuka 2 au kutafakari hili moyoni mwako? 1 Si ni kwa sababu nimekuwa kimya muda mrefu 2 hata huniogopi? 1
Luke 12:4“Nawaambieni rafiki zangu, msiwaogope wale wauao mwili, lakini baada ya hilo hawawezi kufanya lolote zaidi.
John 7:13Lakini hakuna mtu yeyote aliyemsema waziwazi kumhusu kwa sababu ya kuwaogopa Wayahudi. 1 Yesu Afundisha Kwenye Sikukuu
John 9:34Wao wakamjibu, “Wewe ulizaliwa katika dhambi kabisa, nawe unajaribu kutufundisha?” Wakamfukuza atoke nje. 1 Upofu Wa Kiroho