bible.software › John › John 9 › John 9:23
John 9:23
Kwa hiyo wazazi wake wakasema, “Yeye ni mtu mzima. Muulizeni.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Therefore said his parents, He is of age; ask him.
In Context
22Wazazi wake walisema hivi kwa sababu waliwaogopa Wayahudi kwani walikuwa wamekubaliana kuwa mtu yeyote atakayemkiri Yesu kuwa ndiye Kristo + 9:22 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. atafukuzwa kutoka sinagogi.
24Hivyo kwa mara ya pili wakamwita yule aliyekuwa kipofu, nao wakamwambia, “Mpe Mungu utukufu! Sisi tunafahamu kuwa mtu huyu aliyekuponya ni mwenye dhambi.”
Read all of John 9
Cross References
John 9:21Lakini sisi hatujui ni kwa jinsi gani kwamba sasa anaona, wala hatujui ni nani aliyemfungua macho yake. Muulizeni, yeye ni mtu mzima na anaweza kujieleza mwenyewe.”
This Verse In Other Editions
Study John 9:23