John 9:27
Akawajibu, “Tayari nimekwisha kuwaambia, nanyi hamtaki kunisikiliza. Mbona mnataka kusikia tena? Je, ninyi nanyi mnataka kuwa wanafunzi wake?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
26Wakamuuliza, “Alikufanyia nini? Aliyafumbuaje macho yako?”
28Ndipo wakamtukana na kusema, “Wewe ndiwe mwanafunzi wake, Sisi ni wanafunzi wa Mose.
Cross References
Luke 22:67Wakamwambia, “Kama wewe ndiye Kristo, + 22:67 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. tuambie.” Yesu akawajibu, “Hata nikiwaambia hamtaamini.