Luke 22:67
Wakamwambia, “Kama wewe ndiye Kristo, + 22:67 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. tuambie.” Yesu akawajibu, “Hata nikiwaambia hamtaamini.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Art thou the Christ? tell us. And he said unto them, If I tell you, ye will not believe:
In Context
68Nami nikiwauliza swali, hamtanijibu.
Cross References
Matthew 26:63Lakini Yesu akakaa kimya. Ndipo kuhani mkuu akamwambia, “Nakuapisha mbele za Mungu aliye hai. Tuambie kama wewe ndiwe Kristo, + 26:63 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. Mwana wa Mungu.”
Luke 16:31“Abrahamu akamwambia, ‘Kama wasipowasikiliza Mose na Manabii, hawataweza kushawishika hata kama mtu akifufuka kutoka kwa wafu.’ ”
John 8:43Kwa nini hamwelewi ninayowaambia? Ni kwa sababu hamwezi kusikia nisemacho.
John 10:24Wayahudi wakamkusanyikia wakamuuliza, “Utatuweka katika hali ya mashaka mpaka lini? Kama wewe ndiye Kristo + 10:24 Kristo maana yake ni Masiya , yaani Aliyetiwa mafuta. tuambie waziwazi.”
John 18:21Mbona unaniuliza mimi maswali? Waulize wale walionisikia yale niliyowaambia. Wao wanajua niliyosema.”