John 9:33
Kama huyu mtu hakutoka kwa Mungu, asingeweza kufanya lolote.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
If this man were not of God, he could do nothing.
In Context
32Tangu zamani hatujasikia kwamba mtu amemponya yeyote aliyezaliwa kipofu.
Cross References
John 3:2Huyu alimjia Yesu usiku akamwambia, “Rabi, tunajua kuwa wewe ni mwalimu uliyetumwa na Mungu, kwa maana hakuna mtu awezaye kufanya miujiza hii uifanyayo wewe, kama Mungu hayuko pamoja naye.”
Acts 5:38Kwa hiyo, kwa habari ya jambo hili nawashauri, jiepusheni na watu hawa. Waacheni waende zao! Kwa maana kama kusudi lao na shughuli yao imetokana na mwanadamu, haitafanikiwa.