John 9:32
Tangu zamani hatujasikia kwamba mtu amemponya yeyote aliyezaliwa kipofu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Since the world began was it not heard that any man opened the eyes of one that was born blind.
In Context
31Tunajua ya kuwa Mungu hawasikilizi wenye dhambi, lakini huwasikiliza wote wanaomcha na kumtii.
33Kama huyu mtu hakutoka kwa Mungu, asingeweza kufanya lolote.”
Cross References
Job 20:4“Hakika unajua jinsi ilivyokuwa tangu zamani, 2 tangu zamani mwanadamu alipowekwa duniani, 1
Luke 1:70kama alivyonena kwa vinywa vya manabii 2 wake watakatifu tangu zamani, 1