John 9:5
Wakati niko ulimwenguni, mimi ni nuru ya ulimwengu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
As long as I am in the world, I am the light of the world.
In Context
Cross References
Isaiah 49:6yeye asema: 1 “Je, ni jambo dogo sana wewe kuwa mtumishi wangu 2 ili kurejeza makabila ya Yakobo, 2 na kuwarudisha wale Waisraeli niliowahifadhi? 1 Pia nitakufanya uwe nuru kwa ajili ya watu wa Mataifa, 2 ili upate kuleta wokovu wangu hata miisho ya dunia.” 1
Malachi 4:2Bali kwenu ninyi mnaoliheshimu Jina langu, jua la haki litawazukia, lenye kuponya katika mabawa yake. Nanyi mtatoka nje na kurukaruka kama ndama aliyeachiwa kutoka zizini.
Luke 2:32nuru kwa ajili ya ufunuo kwa watu wa Mataifa 2 na kwa ajili ya utukufu kwa watu wako Israeli.”
John 3:19Hii ndiyo hukumu kwamba: Nuru imekuja ulimwenguni, nao watu wakapenda giza kuliko nuru kwa sababu matendo yao ni maovu.
John 12:35Ndipo Yesu akawaambia, “Bado kitambo kidogo nuru ingalipo pamoja nanyi. Enendeni maadamu mna nuru, msije mkakumbwa na giza. Mtu anayetembea gizani hajui anakokwenda.
Acts 13:47Kwa maana hili ndilo Bwana alilotuamuru: 1 “ ‘Nimewafanya ninyi kuwa nuru kwa watu wa Mataifa, 2 ili mpate kuuleta wokovu hadi miisho ya dunia.’ ”