bible.software › Jonah › Jonah 2 › Jonah 2:5
Jonah 2:5
Maji yaliyonimeza yalinitisha, 2 kilindi kilinizunguka; 2 mwani + 2:5 Mwani hapa maana yake ni magugu yaotayo kwenye sakafu ya kilindi cha bahari. ulijisokota kichwani pangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The waters compassed me about, even to the soul: the depth closed me round about, the weeds were wrapped about my head.
In Context
4Nikasema, ‘Nimefukuziwa 2 mbali na uso wako, 1 hata hivyo nitatazama tena 2 kuelekea Hekalu lako takatifu.’ 1
6Nilizama chini sana mpaka pande za mwisho za milima, 2 makomeo ya hiyo nchi yalinifungia hata milele. 1 Lakini uliuleta uhai wangu kutoka shimoni, 2 Ee Bwana Mungu wangu. 1
Read all of Jonah 2
Cross References
Psalms 5:8Niongoze katika haki yako, Ee Bwana, 2 kwa sababu ya adui zangu, 2 nyoosha njia yako mbele yangu. 1
Psalms 69:1Ee Mungu, niokoe, 2 kwa maana maji yamenifika shingoni. 1
This Verse In Other Editions
Study Jonah 2:5