Jonah 2:6
Nilizama chini sana mpaka pande za mwisho za milima, 2 makomeo ya hiyo nchi yalinifungia hata milele. 1 Lakini uliuleta uhai wangu kutoka shimoni, 2 Ee Bwana Mungu wangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 32:22Kwa maana moto umewashwa kwa hasira yangu, 2 ule uwakao hadi kwenye vina vya mauti. 1 Utateketeza dunia pamoja na mazao yake, 2 na kuwasha moto katika misingi ya milima. 1
Job 33:28Alinikomboa nafsi yangu nisitumbukie shimoni, 2 nami nitaishi ili kuufurahia mwanga.’ 1
Psalms 16:10kwa maana hutaniacha kaburini, 2 wala hutamwacha Mtakatifu Wako kuona uharibifu. 1
Psalms 30:9“Kuna faida gani katika kuangamia kwangu? 2 Katika kushuka kwangu shimoni? 1 Je, mavumbi yatakusifu? 2 Je, yatatangaza uaminifu wako? 1
Psalms 65:6uliyeumba milima kwa uwezo wako, 2 ukiwa umejivika nguvu, 1
Psalms 104:6Uliifunika kwa kilindi kama kwa vazi, 2 maji yalisimama juu ya milima. 1