bible.software › Yoshua › Yoshua 1 › Yoshua 1:3
Yoshua 1:3
Kila mahali nyayo za miguu yenu zitakapokanyaga nimewapa, kama vile nilivyomwahidi Mose.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Every place that the sole of your foot shall tread upon, that have I given unto you, as I said unto Moses.
In Context
2“Mtumishi wangu Mose amekufa. Sasa basi, wewe pamoja na watu wote hawa, jiandaeni kuvuka huu Mto Yordani kuingia nchi ambayo karibu nitawapa wana wa Israeli.
4Nchi yenu itaenea kuanzia jangwa hili hadi Lebanoni, tena kuanzia mto mkubwa wa Frati, yaani nchi yote ya Wahiti, hadi Bahari ile Kubwa + 1:4 Yaani Bahari ya Mediterania. iliyoko upande wa magharibi.
Read all of Yoshua 1
Cross References
Deuteronomy 11:24Kila mahali mtakapoweka mguu wenu patakuwa penu: Nchi yenu itaenea kutoka jangwa la Lebanoni, na kutoka mto wa Frati hadi bahari ya magharibi + 11:24 Yaani Bahari ya Mediterania.
Titus 1:2imani na ujuzi ulioko katika tumaini la uzima wa milele, ambao Mungu, asiyesema uongo, aliahidi hata kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu,
This Verse In Other Editions
Study Yoshua 1:3