bible.software › Yoshua › Yoshua 10 › Yoshua 10:22
Yoshua 10:22
Ndipo Yoshua akasema, “Haya fungueni mdomo wa pango, mniletee hao wafalme watano.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then said Joshua, Open the mouth of the cave, and bring out those five kings unto me out of the cave.
In Context
21Basi jeshi lote likarudi salama kwa Yoshua huko kambini Makeda, na hakuna yeyote aliyetoa neno kinyume cha Waisraeli.
23Kwa hiyo wakawatoa hao wafalme watano nje ya pango: wafalme wa Yerusalemu, Hebroni, Yarmuthi, Lakishi na Egloni.
Read all of Yoshua 10
Cross References
Joshua 8:23Lakini wakamchukua mfalme wa Ai akiwa hai na kumleta kwa Yoshua.
1 Samuel 15:32Ndipo Samweli akasema, “Niletee Agagi mfalme wa Waamaleki.” Agagi akaja kwake kwa ujasiri, akifikiri, “Hakika uchungu wa mauti umepita.”
This Verse In Other Editions
Study Yoshua 10:22