Yoshua 11:3
kwa Wakanaani upande wa mashariki na magharibi; kwa Waamori, Wahiti, Waperizi na Wayebusi katika nchi ya vilima; na kwa Wahivi chini ya Hermoni katika eneo ya Mispa.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 31:49Pia liliitwa Mispa, + 31:49 Mispa maana yake Mnara wa ulinzi. kwa sababu alisema, “ Bwana na aweke ulinzi kati yako na mimi wakati kila mmoja akiwa mbali na mwingine.
Deuteronomy 4:48Nchi hii ilienea kutoka Aroeri ukingoni mwa Bonde la Arnoni mpaka Mlima Sioni (yaani Hermoni),
Joshua 3:10Hivi ndivyo mtakavyojua ya kuwa Mungu aliye hai yupo katikati yenu, na kwamba kwa hakika atawafukuza mbele yenu hao Wakanaani, Wahiti, Wahivi, Waperizi, Wagirgashi, Waamori na Wayebusi.
Joshua 15:38Dileani, Mispa, Yoktheeli,
Joshua 18:26Mispa, Kefira, Moza,
Judges 3:5Waisraeli wakaishi miongoni mwa Wakanaani, Wahiti, Waamori, Waperizi, Wahivi na Wayebusi.