The Bible Software
bible.softwareGenesisGenesis 31 › Genesis 31:49

Genesis 31:49

Pia liliitwa Mispa, + 31:49 Mispa maana yake Mnara wa ulinzi. kwa sababu alisema, “ Bwana na aweke ulinzi kati yako na mimi wakati kila mmoja akiwa mbali na mwingine.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Mizpah; for he said, The LORD watch between me and thee, when we are absent one from another.

In Context

48Labani akasema, “Lundo hili ni shahidi kati yako na mimi leo.” Ndiyo maana likaitwa Galeedi.

50Kama ukiwatenda mabaya binti zangu au ukioa wake wengine zaidi ya binti zangu, hata ingawa hakuna hata mmoja aliye pamoja nasi, kumbuka kwamba Mungu ni shahidi kati yako na mimi.”

Read all of Genesis 31

Cross References

Judges 11:11Basi Yefta akaenda na viongozi wa Gileadi, nao watu wakamfanya kiongozi na jemadari wao. Naye akarudia maneno yake yote mbele za Bwana huko Mispa.

1 Samuel 7:5Kisha Samweli akasema, “Wakusanyeni Israeli wote huko Mispa, nami nitawaombea ninyi kwa Bwana.”

Hosea 5:1“Sikieni hili, enyi makuhani! 2 Kuweni wasikivu, enyi Waisraeli! 1 Sikieni, ee nyumba ya mfalme! 2 Hukumu hii ni dhidi yenu: 1 Mmekuwa mtego huko Mispa, 2 wavu uliotandwa juu ya Tabori. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Genesis 31:49

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Genesis 31:48Genesis 31Genesis 31:50 →