bible.software › Yoshua › Yoshua 13 › Yoshua 13:31
Yoshua 13:31
nusu ya Gileadi, na Ashtarothi na Edrei (miji ya kifalme ya Ogu katika Bashani). Hii ilikuwa kwa ajili ya wazao wa Makiri mwana wa Manase, kwa ajili ya nusu ya wana wa Makiri, ukoo kwa ukoo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And half Gilead, and Ashtaroth, and Edrei, cities of the kingdom of Og in Bashan, were pertaining unto the children of Machir the son of Manasseh, even to the one half of the children of Machir by their families.
In Context
30Eneo lililoenea kuanzia Mahanaimu, na kujumlisha Bashani yote, ufalme wote wa Ogu mfalme wa Bashani, makazi yote ya Yairi huko Bashani, miji sitini,
32Huu ndio urithi alioupeana Mose wakati alipokuwa katika tambarare za Moabu, ngʼambo ya Yordani mashariki mwa Yeriko.
Read all of Yoshua 13
Cross References
Joshua 12:4Nayo nchi ya Ogu mfalme wa Bashani, aliyekuwa mmoja wa mabaki ya Warefai, aliyetawala Ashtarothi na Edrei.
Judges 5:17Gileadi alikaa ngʼambo ya Yordani. 2 Naye Dani, kwa nini alikaa 2 kwenye merikebu siku nyingi? 1 Asheri alikaa kwa utulivu ufuoni mwa bahari, 2 akikaa kwenye ghuba zake ndogo. 1
This Verse In Other Editions
Study Yoshua 13:31